Main Page

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
INTERNET GOVERNANCE WORKSHOP
Chuo Kikuu cha Dodoma kinapenda kutangaza kozi ya muda mfupi itakayoendeshwa kuanzia tarehe 18-20 Mwezi wa Tisa, 2017, Dodoma. Hakuna gharama katika kushiriki mafunzo haya yatakayoendeshwa na wataalamu waliobobea katika fani ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka ndani na nje ya Nchi. Kama utahitaji kushiriki katika mafunzo haya wasiliana nasi (mictanzania@live.com)
Video iliyohusishwa

Kuhusu ICANN

ICANN ni mshika dau mkuu ulimwenguni, shirika lisilo la kifaida ambalo linamudu rasilmali za mtandao kwa manufaa ya umma. Inajulikana kwa wadhifa wake kama mwendeshaji wa kiufundi wa mfumo wa majina mtandaoni (Domain Name System). Makao yake makuu ni Los Angeles, California, Marekani. ICANN ina vitovu Istanbul, Los Angeles, na Singapore. Pia ina afisi shirikishi Beijing, Brussels, Montevideo, Washington, na Nairobi.