Difference between revisions of "Mosikili"

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
m
Line 2: Line 2:
  
 
Reference
 
Reference
 
<ref>Mothers of the internet 30th june 2017.</ref>
 

Revision as of 15:14, 30 June 2017

TC Mosikili ni mkuu wa wakuu wa kugundua uhalifu katika nchi ya afrika kusini, ana miaka zaidi ya 27 ya uzoefu, na kwa sasa anachunguza uhalifu unaohusiana na migogoro ya kifamilia,ulinzi wa mtoto na makosa ya kingono.Yeye ni mtetezi wa nguvu kwa Ulinzi wa Watoto katika mambo ya kimtandao.Jenerali Mkuu pia alikuwa katika jopo / msemaji katika Warsha ya kwanza ya Kujenga uwezo wa ICANN kwa GAC ya Kiafrika Wanachama huko Nairobi 2017, na walihudhuria waachama wa ICANN 58 katika Copenhagen na GAC.

Reference