Difference between revisions of "Mpango wa ulinzi wa watoto"

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'sasa unaweza kutoa taarifa mtandaoni juu ya ukatili wa kingono wa watoto kwenye mtandao. watumiaji wa mtandao kwa Tanzania bara na zanzibar sasa watakua na tovu...')
 
(No difference)

Latest revision as of 04:45, 5 October 2017

sasa unaweza kutoa taarifa mtandaoni juu ya ukatili wa kingono wa watoto kwenye mtandao. watumiaji wa mtandao kwa Tanzania bara na zanzibar sasa watakua na tovuti maalum ya Internet Watch foundation IWF ya kutoa taarifa za unyanyasaji wa kingono kwa watoto mtandaaoni, bila kujulikana. utoaji wa taarifa utasaidia kuongeza usalama wa watumiaji wa mitandao na kuhakikisha kuwa watoto walioathirika na ukatili wa kingono hawapati unyanyasaji zaidi kwa picha au video za unyanyasaji wao kusambazwa mitandaoni.