Mpango wa ulinzi wa watoto

From Swahili ICANNWiki
Revision as of 04:45, 5 October 2017 by Zuh (talk | contribs) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'sasa unaweza kutoa taarifa mtandaoni juu ya ukatili wa kingono wa watoto kwenye mtandao. watumiaji wa mtandao kwa Tanzania bara na zanzibar sasa watakua na tovu...')
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

sasa unaweza kutoa taarifa mtandaoni juu ya ukatili wa kingono wa watoto kwenye mtandao. watumiaji wa mtandao kwa Tanzania bara na zanzibar sasa watakua na tovuti maalum ya Internet Watch foundation IWF ya kutoa taarifa za unyanyasaji wa kingono kwa watoto mtandaaoni, bila kujulikana. utoaji wa taarifa utasaidia kuongeza usalama wa watumiaji wa mitandao na kuhakikisha kuwa watoto walioathirika na ukatili wa kingono hawapati unyanyasaji zaidi kwa picha au video za unyanyasaji wao kusambazwa mitandaoni.