Difference between revisions of "Msichana wa mtandao"

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Habari, jina langu naitwa zuhura msisi, kwa sasa namalizia elimu yangu ya digrii ya kwanza katika chuo cha uhasibu arusha (IAA) nikichukua masomo ya Tehama na n...')
 
(2 intermediate revisions by one other user not shown)
Line 1: Line 1:
 
Habari, jina langu naitwa zuhura msisi, kwa sasa namalizia elimu yangu ya digrii ya kwanza katika chuo cha uhasibu arusha (IAA) nikichukua masomo ya Tehama na nimatumaini yangu pia kua nitaendelea  na elimu ya juu Zaidi kwa kadri ya mungu ataponiwezesha kufika.
 
Katika Makala hii ningependa kuzungumzia masuala ya watoto wa kike (wasichana) na mtandao. Wasichana wengi hasa wale wa nchi zinazoendelea kama Tanzania, naweza kusema bado tupo nyuma sana kwa masuala ya kiteknolojia. Wengi wetu tunatumia mitandao kwa masuala ya kujiunganisha kijamii au kwa kiingereza tunaita “socialization”, wengi wetu tunatumia intaneti kwa masuala ya mitandao ya kijamii kama facebook, twitter, whatsapp , instergram na mingine mingi. Sawa intaneti imekua kama zawadi kwetu lakini pia kwa upande mwingine imekua kama tatizo kwa jamii. Unaweza kufanya mambo mengi kwa njia ya mtandao na pia kwa sasa mtandao umebeba faida kubwa hasa kwa wafanya biashara wadogo na wakubwa. Intaneti pia imekua nguzo kubwa katika mambo ya kimaendeleo katika nchi zinazoendelea.  
+
 
Lakini, kwa nchi kama Tanzania bado hatujajua matumizi mazuri ya mtandao na hatutumii mtandao kwa ufanisi wake. Hasa kwa watoto wa kike ambao ndo tumeachwa nyuma sana kwenye mambo ya mtandao.
 
Ombi langu kwa wasichana ni kwamba, tujishirikishe kwenye mambo tofauti ya kimtandao, tutumie mtandao kwa ufanisi wake na tuangalie wapi mtandao utatupelekwa kwa miaka mitano ijayo. Tusiache kujaribu , kwasababu kutokea hapo tunaweza sema “tunaweza kufanya”.  
 
ningependa kutoa ufupi wa vitu ambavyo ni vidogo sana lakini vinachangia sana kwenye maendeleo binafsi ya mtu, vitu ambavyo mimi navifanya kila siku sio kwa sababu nimechukua masomo ya tehama, kwa sababu kila mtu anaweza kufanya na haijalishi kama ni mtaalamu wa masomo ya tehama au la.haya yote nayafanya kwa kutumia mtandao.
 
nikiamka hasubuhi kwa kutumia simu yangu nakutanda na ratiba yangu ya mambo niliyotarajia kufanya siku hiyo, pia inanitumia email ambayo ina habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa. hivi ni vitu vichache tu ambavyo vinategemea mtandao kwa muda wa hasubuhi tu.
+
nikiamka hasubuhi kwa kutumia simu yangu nakutana na ratiba yangu ya mambo niliyotarajia kufanya siku hiyo, pia inanitumia barua pepe ambayo ina habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa. hivi ni vitu vichache tu ambavyo vinategemea mtandao kwa muda wa hasubuhi tu.
  
moja ya vitu muhimu katika maisha ni kwenda na muda, fanya kitu sahihi kwa muda sahihi na hapo ndipo mwanzo wa maendeleo.
 
imetolewa na Zuhura Msisi tarehe 2/7/2017

Latest revision as of 10:17, 9 July 2017

Habari, jina langu naitwa zuhura msisi, kwa sasa namalizia elimu yangu ya digrii ya kwanza katika chuo cha uhasibu arusha (IAA) nikichukua masomo ya Tehama na nimatumaini yangu pia kua nitaendelea na elimu ya juu Zaidi kwa kadri ya mungu ataponiwezesha kufika.

Katika Makala hii ningependa kuzungumzia masuala ya watoto wa kike (wasichana) na mtandao. Wasichana wengi hasa wale wa nchi zinazoendelea kama Tanzania, naweza kusema bado tupo nyuma sana kwa masuala ya kiteknolojia. Wengi wetu tunatumia mitandao kwa masuala ya kujiunganisha kijamii au kwa kiingereza tunaita “socialization”, wengi wetu tunatumia intaneti kwa masuala ya mitandao ya kijamii kama facebook, twitter, whatsapp , instergram na mingine mingi. Sawa intaneti imekua kama zawadi kwetu lakini pia kwa upande mwingine imekua kama tatizo kwa jamii. Unaweza kufanya mambo mengi kwa njia ya mtandao na pia kwa sasa mtandao umebeba faida kubwa hasa kwa wafanya biashara wadogo na wakubwa. Intaneti pia imekua nguzo kubwa katika mambo ya kimaendeleo katika nchi zinazoendelea. Lakini, kwa nchi kama Tanzania bado hatujajua matumizi mazuri ya mtandao na hatutumii mtandao kwa ufanisi wake. Hasa kwa watoto wa kike ambao ndo tumeachwa nyuma sana kwenye mambo ya mtandao. Ombi langu kwa wasichana ni kwamba, tujishirikishe kwenye mambo tofauti ya kimtandao, tutumie mtandao kwa ufanisi wake na tuangalie wapi mtandao utatupelekwa kwa miaka mitano ijayo. Tusiache kujaribu , kwasababu kutokea hapo tunaweza sema “tunaweza kufanya”.

ningependa kutoa ufupi wa vitu ambavyo ni vidogo sana lakini vinachangia sana kwenye maendeleo binafsi ya mtu, vitu ambavyo mimi navifanya kila siku sio kwa sababu nimechukua masomo ya tehama, kwa sababu kila mtu anaweza kufanya na haijalishi kama ni mtaalamu wa masomo ya tehama au la.haya yote nayafanya kwa kutumia mtandao. nikiamka hasubuhi kwa kutumia simu yangu nakutana na ratiba yangu ya mambo niliyotarajia kufanya siku hiyo, pia inanitumia barua pepe ambayo ina habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa. hivi ni vitu vichache tu ambavyo vinategemea mtandao kwa muda wa hasubuhi tu.