Mtumiaji:R maha

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

kWA MAJINA NAITWA RAJAB MAHMOUD CHANDE NAISHI NJIRO NASOMEA SHAHADA YA SAYANSI YA COMPUTER KATIKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA NIMEFURAHIA KUHUDHURIA SEMINA HII KWASABABU NI MOJA YA NJIA YA KUPATA TAALUMA NA VILEVILE NIMEPATA KUONANA NA KUJUANA NA WATU MBALIMBALI NAWASHUKURU SANA ICANNWIKI KWA MAANDALIZI NA TAALUMA YENU MNAYOTUPA SHUKRAN