Net Neutrality

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

Net Neutrality au Open Internet ni neno linaloashiria uhuria kwenye mtandao.
Mtandao huria unawawezesha watumiaji kutembelea sehemu yoyote kwenye mtandao, pindi wanavyopenda.
Kanuni hii pia inajulikana kwa kimombo kama “Net Neutrality”.
Wazinduzi wanaweza kuunda bidhaa and huduma bila kuomba ruhusa kwa yeyote.