Difference between revisions of "Tznog"

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search
(tzNOG)
 
Line 1: Line 1:
 
Mnamo mwaka 2011 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) na Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (tzNIC) ilikua wenyeji wa  Grup la mawasiliano Afrika(AfNOG) kwenye mafunzo Dar Es salaam Tanzania. Mwisho wa kuwa wenyeji robo tatu ya washiriki walikua watanzania. Hii ilikua io kawaida na Mafunzo hayo yalivofanyika nchi nyingine kwa kupunguza cost ikaonekana kua ikifanywa Tanzania basi wtu wengi hawatakosa mafunzo.
 
Kuokana na hiyo walimu wa Afnog  walionelea kua washiriki wengi Hawana uwezo wa kutumia utawala wa Unix. Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano alielekeza tzNIC kuwezesha Mafunzo ya Afnog kuanzishwa rasmi nchini. Tznic walijikita na kuanzisha uendeshaji wa grup la mawasiliano Tanzania (TZNOG). kamati ya waandaji ilikua ni wanachama wa mamlaka ya mawasiliano (TCRA) Umoja wa utoaji huduma ya mtandao Tanzania (TISPA) wanachama wa mafunzo na utafiti wa mawasiliano Tanzania (TERNET) wa mwaka 2012 kwa msaada wa waanzilishiw wa rasilimali za mawasiliano (NSRC) na shirika la mafunzo lililoko MArekani na kamati ya uandaaji ya tzNOG ilifungua rasmi mafunzo yA tzNOG Arusha kuanzia 28 july mpaka tarehe mbili Agosti 2013. Mafunzo yanayofanana yalifanyika mara mbili kwa mwaka na kwa baadhi ya mikoa nchini. MAdhumuni ni kutoa nafasi na ya kuwapa ujuzi na uwezo maenjinia wa mtandao kwa Bei nafuu.
+
Kuokana na hiyo walimu wa Afnog  walionelea kua washiriki wengi Hawana uwezo wa kutumia utawala wa Unix. Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano alielekeza tzNIC kuwezesha Mafunzo ya Afnog kuanzishwa rasmi nchini. Tznic walijikita na kuanzisha uendeshaji wa grup la mawasiliano Tanzania (TZNOG). kamati ya waandaji ilikua ni wanachama wa mamlaka ya mawasiliano (TCRA) Umoja wa utoaji huduma ya mtandao Tanzania (TISPA) wanachama wa mafunzo na utafiti wa mawasiliano Tanzania (TERNET) wa mwaka 2012 kwa msaada wa waanzilishiw wa rasilimali za mawasiliano (NSRC) na shirika la mafunzo lililoko MArekani na kamati ya uandaaji ya tzNOG ilifungua rasmi mafunzo yA tzNOG Arusha kuanzia 28 july mpaka tarehe mbili Agosti 2013. Mafunzo yanayofanana yalifanyika mara mbili kwa mwaka na kwa baadhi ya mikoa nchini. MAdhumuni ni kutoa nafasi na ya kuwapa ujuzi na uwezo maenjinia wa mtandao kwa Bei nafuu. <ref>[http:////www.tznog.or.tz/ //www.tznog.or.tz/ tzNOG Website. Retrieved 07 Aug 2017.]</ref>
  
=Faida za tzNOG ni=
+
==Faida za tzNOG ni==
  
1. kukutanisha na kuwaweka pamoja mainjinia wa Tanzania na wengine kutoka nchi za nje
 
1. kukutanisha na kuwaweka pamoja mainjinia wa Tanzania na wengine kutoka nchi za nje
Line 11: Line 11:
 
5. Kutoa sehemu nzuri ya utafiti  ambayo ni ufunguo elimu nchini
 
5. Kutoa sehemu nzuri ya utafiti  ambayo ni ufunguo elimu nchini
  
Tovuti:http:[http:////www.tznog.or.tz/ //www.tznog.or.tz/]
+
==References==

Revision as of 19:18, 7 August 2017

Mnamo mwaka 2011 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) na Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (tzNIC) ilikua wenyeji wa Grup la mawasiliano Afrika(AfNOG) kwenye mafunzo Dar Es salaam Tanzania. Mwisho wa kuwa wenyeji robo tatu ya washiriki walikua watanzania. Hii ilikua io kawaida na Mafunzo hayo yalivofanyika nchi nyingine kwa kupunguza cost ikaonekana kua ikifanywa Tanzania basi wtu wengi hawatakosa mafunzo.

Kuokana na hiyo walimu wa Afnog walionelea kua washiriki wengi Hawana uwezo wa kutumia utawala wa Unix. Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano alielekeza tzNIC kuwezesha Mafunzo ya Afnog kuanzishwa rasmi nchini. Tznic walijikita na kuanzisha uendeshaji wa grup la mawasiliano Tanzania (TZNOG). kamati ya waandaji ilikua ni wanachama wa mamlaka ya mawasiliano (TCRA) Umoja wa utoaji huduma ya mtandao Tanzania (TISPA) wanachama wa mafunzo na utafiti wa mawasiliano Tanzania (TERNET) wa mwaka 2012 kwa msaada wa waanzilishiw wa rasilimali za mawasiliano (NSRC) na shirika la mafunzo lililoko MArekani na kamati ya uandaaji ya tzNOG ilifungua rasmi mafunzo yA tzNOG Arusha kuanzia 28 july mpaka tarehe mbili Agosti 2013. Mafunzo yanayofanana yalifanyika mara mbili kwa mwaka na kwa baadhi ya mikoa nchini. MAdhumuni ni kutoa nafasi na ya kuwapa ujuzi na uwezo maenjinia wa mtandao kwa Bei nafuu. [1]

Faida za tzNOG ni

1. kukutanisha na kuwaweka pamoja mainjinia wa Tanzania na wengine kutoka nchi za nje 2. kutoa mazoezi ya usimamizi wa mtandao ili kuweza kufaidika na wingi wa uwezo wa fibre ya Tanzania na kugusa kwenye biashara 3. kufaidika na uwezo wa Intanet nchini 4. Usimamizi mzuri wa rasilimali za mawasiliano ikiwemo 5. Kutoa sehemu nzuri ya utafiti ambayo ni ufunguo elimu nchini

References