Usajili wa kikoa cha .TZ

From Swahili ICANNWiki
Jump to: navigation, search

hatua kwa hatua usajili wa kikoa cha .TZ

1. tembelea tovuti ya "www.karibu.tz" 2. chagua "register" kujiandikisha 3. chagua msajili wa uchaguzi wako 4. ingiza jina lako la kikoa cha kuchaguliwa na ufanye "whois" kutafuta jina ili upate upatikanaji wake 5.Jaza maelezo ya kibinafsi na uwasilishe. ankara itatumwa kwa anwani yako ya barua pepe 6.lipia jina la kikoa kwa kutumia chaguzi zilizotajwa katika ankara yako 7. kufurahia jina lako la kikoa cha .tz


imetolewa na Zuhura Msisi