W3schools

From Swahili ICANNWiki
Revision as of 22:03, 27 April 2017 by Jackie Treiber (talk | contribs) (Deleted Wikipedia reference.)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

W3Schools ni mtandao maarufu kwa ajili ya kujifunza teknolojia za wavuti kwenye mtandao. Maudhui inahusisha mafunzo na marejeo yanayohusiana na HTML, CSS, JavaScript, PHP, SQL, Bootstrap, na jQuery. W3Schools hupata wageni zaidi ya milioni kumi kwa kila mwezi.

Iliundwa mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na nane(1998).Jina lake linatokana na mtandao wa dunia nzima, lakini si uhusiano na W3C (mtandao wa dunia nzima Consortium). Inaendelezwa na Refsnes Data nchini Norway. W3Schools inatoa maelfu ya mifano ya kanuni za kompyuta. Kwa kutumia mhariri kwenye mtandao, wasomaji wanaweza kubadilisha mifano na kutekeleza kanuni katika sandbox.