WhatsApp

From Swahili ICANNWiki
Revision as of 09:39, 17 August 2016 by Motetekhr (talk | contribs)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to: navigation, search

Ni mfumo wa kimawasiliano ya kijamii ambapo wtumiaji wake hupata ujumbe hapo kwa hapo kupitia simu zao za smartphones. mfumo huu hutumia huduma ya mtandao wa intaneti kutuma ujumbe wa kimaandishi, picha, video, mahala/uelekeo wa mtumiaji na hata ujumbe wa sauti ili kufikisha mawasiliano hayo kwa mtumiaji mwingine ambaye pia ni mtumiaji wa smartphone kupitia namba yake husika ya simu.

Reference[edit | edit source]

Wikipedia